Another man kil1s wife over Kenya Shillings 500 in Mombasa

940
kes 500 Kenyan shillings
kes 500 Kenyan shillings

Polisi wanamzuiliwa mwanamume mmoja kutoka mtaa wa Ziwa la Ng’ombe Bombolulu kaunti ya Mombasa kwa madai ya kumuuwa mkewe baada ya kumpa kichapo kikali cha mbwa.

Inasemekana kuwa mzozo kati ya mwanamume huyo na mkewe ulizuka kutokana na shillingi 500 aliyoachiwa mke huyo kununua chakula.

Asha Bekidusa na taarifa kwa kina